Kuhusu OwnRfid

OwnRfid imeundwa na Owntech Company Limited kwa taasisi zinazofuatilia mali halisi — ambapo mtandao hafifu na kasi ni muhimu.

OwnRfid began with a simple problem: asset registers that live only on paper go out of date the moment they are written. Field teams needed a tool that works where the signal does not — in basements, warehouses and rural sites — and still produces records an auditor can trust.

The app is offline-first. Every scan is saved to the device, then synced in the background. Licences are signed and bound to each device, data is encrypted at rest, and backups can only be opened by your own app.

OwnRfid is built and supported by Owntech Company Limited. We host the licence server, ship the updates and answer the support line.

Huzuiwi na mtandao

Rekodi huhifadhiwa kwenye kifaa kwanza na kusync chinichini. Chumba cha chini, ghala au kijiji hakuna tatizo.

Fomu zako, kwa mtindo wako

Tengeneza fomu kwa mkono au kuimport kutoka spreadsheet, kisha hamisha fomu yoyote kwenda Excel, CSV au PDF.

Salama kwa muundo

Leseni zenye sahihi zilizofungwa kwa kila kifaa, hifadhi iliyosimbwa na backup zilizosimbwa ambazo app yako pekee inaweza kuzifungua.

Uko tayari kudhibiti mali zako?

Weka OwnRfid, anza jaribio la bure la siku 7, na uactivate ukiwa tayari.